NA GODFREY NNKO
LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.01 na kuuzwa kwa shilingi 228.21 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.41 na kuuzwa kwa shilingi 135.71.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 8, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 672.39 na kuuzwa kwa shilingi 679.08 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.48 na kuuzwa kwa shilingi 159.88.
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3036.66 na kuuzwa kwa shilingi 3068.02 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.
Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2637.57 na kuuzwa kwa shilingi 2664.94.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.41 na kuuzwa kwa shilingi 16.57 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 339.02 na kuuzwa kwa shilingi 342.39.
Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.32 na kuuzwa kwa shilingi 16.46 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.
Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2469.63 na kuuzwa kwa shilingi 2494.33 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7999.07 na kuuzwa kwa shilingi 8076.45.
Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1796.75 na kuuzwa kwa shilingi 1814.19 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2741.90 na kuuzwa kwa shilingi 2768.09.
Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1585.75 na kuuzwa kwa shilingi 1602.11 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3244.75 na kuuzwa kwa shilingi 3277.20.
Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 8th, 2023 according to Central Bank;

S/NO | Sarafu | Kununua | Kuuza | Wastani | Tarehe ya biashara |
---|---|---|---|---|---|
1 | AED | 672.3934 | 679.0804 | 675.7369 | 08-Nov-23 |
2 | ATS | 158.4765 | 159.8807 | 159.1786 | 08-Nov-23 |
3 | AUD | 1585.7518 | 1602.1082 | 1593.93 | 08-Nov-23 |
4 | BEF | 54.0578 | 54.5364 | 54.2971 | 08-Nov-23 |
5 | BIF | 0.8665 | 0.8729 | 0.8697 | 08-Nov-23 |
6 | CAD | 1796.7505 | 1814.1901 | 1805.4703 | 08-Nov-23 |
7 | CHF | 2741.9048 | 2768.0946 | 2754.9997 | 08-Nov-23 |
8 | CNY | 339.077 | 342.3926 | 340.7348 | 08-Nov-23 |
9 | DEM | 989.5555 | 1124.8388 | 1057.1971 | 08-Nov-23 |
10 | DKK | 353.7397 | 357.2515 | 355.4956 | 08-Nov-23 |
11 | ESP | 13.1064 | 13.222 | 13.1642 | 08-Nov-23 |
12 | EUR | 2637.5688 | 2664.9422 | 2651.2555 | 08-Nov-23 |
13 | FIM | 366.7628 | 370.0128 | 368.3878 | 08-Nov-23 |
14 | FRF | 332.445 | 335.3856 | 333.9153 | 08-Nov-23 |
15 | GBP | 3036.6615 | 3068.0259 | 3052.3437 | 08-Nov-23 |
16 | HKD | 315.8463 | 319.0007 | 317.4235 | 08-Nov-23 |
17 | INR | 29.6624 | 29.953 | 29.8077 | 08-Nov-23 |
18 | ITL | 1.1262 | 1.1362 | 1.1312 | 08-Nov-23 |
19 | JPY | 16.4139 | 16.5747 | 16.4943 | 08-Nov-23 |
20 | KES | 16.3228 | 16.4642 | 16.3935 | 08-Nov-23 |
21 | KRW | 1.8862 | 1.9046 | 1.8954 | 08-Nov-23 |
22 | KWD | 7999.0726 | 8076.4474 | 8037.76 | 08-Nov-23 |
23 | MWK | 2.0489 | 2.2293 | 2.1391 | 08-Nov-23 |
24 | MYR | 529.0561 | 533.5465 | 531.3013 | 08-Nov-23 |
25 | MZM | 38.3364 | 38.6598 | 38.4981 | 08-Nov-23 |
26 | NLG | 989.5555 | 998.331 | 993.9433 | 08-Nov-23 |
27 | NOK | 221.1883 | 223.3401 | 222.2642 | 08-Nov-23 |
28 | NZD | 1461.5292 | 1476.6434 | 1469.0863 | 08-Nov-23 |
29 | PKR | 8.3454 | 8.748 | 8.5467 | 08-Nov-23 |
30 | RWF | 1.9966 | 2.0478 | 2.0222 | 08-Nov-23 |
31 | SAR | 658.3407 | 664.8887 | 661.6147 | 08-Nov-23 |
32 | SDR | 3244.7528 | 3277.2004 | 3260.9766 | 08-Nov-23 |
33 | SEK | 226.01 | 228.2074 | 227.1087 | 08-Nov-23 |
34 | SGD | 1822.07 | 1839.612 | 1830.841 | 08-Nov-23 |
35 | UGX | 0.6314 | 0.6625 | 0.6469 | 08-Nov-23 |
36 | USD | 2469.6336 | 2494.33 | 2481.9818 | 08-Nov-23 |
37 | GOLD | 4841198.174 | 4890632.831 | 4865915.5025 | 08-Nov-23 |
38 | ZAR | 134.4128 | 135.7082 | 135.0605 | 08-Nov-23 |
39 | ZMW | 106.7058 | 110.8591 | 108.7824 | 08-Nov-23 |
40 | ZWD | 0.4621 | 0.4715 | 0.4668 | 08-Nov-23 |
Tags
Akiba Fedha za Kigeni
Bank of Tanzania Exchange Rates
Benki Kuu ya Tanzania
Exchange Rates
Fedha za Kigeni
Foreign Exchanges
Habari
Indicative Exchange Rates from Bank of Tanzania