Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Novemba 9,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1589.94 na kuuzwa kwa shilingi 1606.34 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3251.80 na kuuzwa kwa shilingi 3284.22.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Novemba 9, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 226.44 na kuuzwa kwa shilingi 228.66 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.74 na kuuzwa kwa shilingi 134.38.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 673.87 na kuuzwa kwa shilingi 680.55 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 158.82 na kuuzwa kwa shilingi 160.23.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3032.62 na kuuzwa kwa shilingi 3064.69 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2640.08 na kuuzwa kwa shilingi 2666.98.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.40 na kuuzwa kwa shilingi 16.48 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 339.95 na kuuzwa kwa shilingi 343.29.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.34 na kuuzwa kwa shilingi 16.48 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.06 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.87.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2475 na kuuzwa kwa shilingi 2499.75 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8011.26 na kuuzwa kwa shilingi 8088.76.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1795.56 na kuuzwa kwa shilingi 1813.38 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2751.22 na kuuzwa kwa shilingi 2776.88.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today November 9th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 673.8728 680.5559 677.2144 09-Nov-23
2 ATS 158.8208 160.2281 159.5244 09-Nov-23
3 AUD 1589.94 1606.3394 1598.1397 09-Nov-23
4 BEF 54.1753 54.6549 54.4151 09-Nov-23
5 BIF 0.8673 0.8747 0.871 09-Nov-23
6 BWP 182.4075 184.7315 183.5695 09-Nov-23
7 CAD 1795.5601 1813.3841 1804.4721 09-Nov-23
8 CHF 2751.2228 2776.8829 2764.0528 09-Nov-23
9 CNY 339.9492 343.2874 341.6183 09-Nov-23
10 CUC 41.3211 46.9701 44.1456 09-Nov-23
11 DEM 991.7057 1127.283 1059.4944 09-Nov-23
12 DKK 354.0722 357.5976 355.8349 09-Nov-23
13 DZD 19.6528 19.6566 19.6547 09-Nov-23
14 ESP 13.1349 13.2507 13.1928 09-Nov-23
15 EUR 2640.0825 2666.9833 2653.5329 09-Nov-23
16 FIM 367.5597 370.8168 369.1882 09-Nov-23
17 FRF 333.1673 336.1144 334.6409 09-Nov-23
18 GBP 3032.6175 3064.6935 3048.6555 09-Nov-23
19 HKD 316.646 319.8084 318.2272 09-Nov-23
20 INR 29.7184 30.0102 29.8643 09-Nov-23
21 IQD 0.2547 0.2566 0.2556 09-Nov-23
22 IRR 0.0088 0.0088 0.0088 09-Nov-23
23 ITL 1.1287 1.1387 1.1337 09-Nov-23
24 JPY 16.4049 16.5678 16.4863 09-Nov-23
25 KES 16.3366 16.4782 16.4074 09-Nov-23
26 KRW 1.8841 1.9019 1.893 09-Nov-23
27 KWD 8011.2643 8088.7587 8050.0115 09-Nov-23
28 MWK 2.0561 2.2371 2.1466 09-Nov-23
29 MYR 528.8462 533.3369 531.0915 09-Nov-23
30 MZM 38.4197 38.7438 38.5818 09-Nov-23
31 NAD 97.0153 97.9678 97.4916 09-Nov-23
32 NLG 991.7057 1000.5003 996.103 09-Nov-23
33 NOK 220.9368 223.0844 222.0106 09-Nov-23
34 NZD 1465.2 1480.6019 1472.901 09-Nov-23
35 PKR 8.1925 8.6948 8.4436 09-Nov-23
36 QAR 831.6288 840.1945 835.9116 09-Nov-23
37 RWF 1.9883 2.0483 2.0183 09-Nov-23
38 SAR 659.8065 666.369 663.0877 09-Nov-23
39 SDR 3251.8035 3284.3215 3268.0625 09-Nov-23
40 SEK 226.4368 228.6636 227.5502 09-Nov-23
41 SGD 1824.0106 1841.1652 1832.5879 09-Nov-23
42 TRY 86.8065 87.6629 87.2347 09-Nov-23
43 UGX 0.6323 0.6641 0.6482 09-Nov-23
44 USD 2475 2499.75 2487.375 09-Nov-23
45 GOLD 4855421.0925 4906213.3296 4880817.2111 09-Nov-23
46 ZAR 133.7375 135.0231 134.3803 09-Nov-23
47 ZMK 106.7 110.8537 108.7768 09-Nov-23
48 ZWD 0.4632 0.4725 0.4678 09-Nov-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news