NA FRESHA KINASA.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema ujuzi, elimu, uadilifu na utumishi thabiti wa Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Prof. Sospeter Muhongo vina mchango mkubwa Sana kwa maendeleo ya Taifa


Akizungumza na Wazee hao Makonda amesema kuwa chama kina waheshimu na kuwathamini Sana wazee kutokana na umuhimu wao katika kuimarisha Chama kwa busara zao na heshima katika kukikenga chama

