Nimeteseka sana na mpenzi ila nimepata tulizo la moyo!

NA MWANDISHI WETU

HAPA duniani ni matarajio ya kila kijana awe wa kike au wa kiume atakapofikisha umri wa utu uzima ataweza kumpata mchumba mwema na kufunga naye ndoa.

Nilidhamiria kupata mume atakayenipenda na kunithamini kila wakati na chochote kile kisije kikatutenganisha maishani mwetu, japo hayo yote hayakuweza kutimia kwa urahisi.

Kwa sasa nasema kama nisingeweza kukutana na wataalam, African Doctors wanaotatua mengi katika mahusiano na ndoa, basi nisingeweza kufikia ndoto zangu.

Kabla sijasimulia safari yangu ya kumpata mchumba wangu kwa usaidizi wa African Doctors, ningependa utakapomaliza kusoma utembelee tovuti hii; www.african-doctors.com ili kufahamu mengi.

Nilipofikisha miaka18 nilianza kupata hamu ya kuwa kwenye uhusiano, nilimpata kijana mmoja kwa jina la James ambaye tulisoma naye katika moja wapo wa vyuo vikuu nchini Kenya. Urafiki wetu ulikua kwa haraka sana na kufikia kuwa wapenzi wenye kupendana sana.

Hata hivyo, sikuweza kugundua kuwa James hakuwa mwaminifu hata kidogo, kwa kuwa nilikuwa na uchungu mwingi moyoni mwangu sikuona haja ya kuendelea kuwa katika uhusiano huo, na hapo hapo nikavunja uhusiano huo.

Nilikaa bila mpenzi kwa muda wa mwaka moja na nusu hadi nilipokuja kupata mpenzi wangu mwingine kanisani, nilimuamini mno kwa kuwa alikuwa moja wapo wa viongozi wa kanisa.

Lakini sikujua alikuwa mbwa mwitu aliyejificha katika kundi la kondoo, naye vile vile tulikuja kuachana, basi niliamua kuishi bila mchumba kwa kuwa nilijua kuwa wanaume wote si waaminifu.

Baada ya miaka mitatu hivi, nilipokuwa kwenye shughuli zangu mtandaoni niliweza kuliona tangazo la kibiashara kutoka kwa wataalam wa tiba asilia "African Doctor", nilipofanya upekuzi mtandaoni nilipata kuwa walikuwa na uwezo wa kutatua migogoro ya mahusiano na kuwapatia watu wapenzi.

Bila kusita niliweza kuwapigia simu na siku iliyofuatia nikakutana na African Doctors, alinipa ahadi kuwa nitampata mpenzi mwaminifu muda sio mrefu.

Siku tatu baadaye niliweza kumpata mume wangu ninayeishi naye kwenye ndoa hadi sasa ambapo ni zaidi ya miaka 10.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news