Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye pamoja na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Kenya Mhe. William Ruto akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn pamoja na wageni mbalimbali wakifuatilia kwa makini wakati Viongozi mbalimbali walipokuwa wakizungumza katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. William Ruto mara baada ya kuwasili Ngurdoto Mkoani Arusha kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye, Rais wa Kenya Mhe. William Ruto pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mhe. Peter Mathuki wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili kuhusu masuala ya Tabianchi na Usalama wa Chakula, Ngurdoto Mkoani Arusha tarehe 23 Novemba, 2023.