Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kigali nchini Rwanda, leo Novemba 2, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Kigali nchini Rwanda, leo Novemba 2, 2023.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagme pamoja na viongozi mbalimbali wakati wakishiriki Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC).
Viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliihudhuria Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika mjini Kigali.