Utekelezaji wa miradi ya barabara za mwendokasi kupitia PPP

DODOMA-Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amepokea taarifa Utekelezaji wa Miradi ya Barabara za Mwendokasi (Expressway) kwa Utaratibu wa Makubaliano ya kimkataba baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP).

Taarifa hiyo imewasilishwa Novemba 3,2023 na Kamishna wa Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila

Kikao hicho kimehudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Eng. Godfrey Kasekenya, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour, Naibu Katibu Mkuu Bw. Ludovick Nduhiye pamoja na baadhi ya Wakurugenzi wa Wizara ya Ujenzi na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Ujenzi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news