Waziri wa Fedha, Dkt.Mwigulu Nchemba akiwasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mapango wa Bajeti wa 2024/25 leo Novem,ba 6, 2023.
Waziri wa Mipango, Prof. Kitila Mkumbo akiwasilisha bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa Fedha 2024/25.