Waziri Mkuu awasili jijini Zanzibar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar Novemba 25, 2026 ambako kesho anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi katika Mbio za Hisani za Kukomesha Ukatili wa Kijinsia ( 'Stop GBV Marathon) zitakazofanyika Mji Mkongwe jijini Zanzibar. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news