Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe

SONGWE-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Novemba 23, 2023, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, iliyopo katika kijiji cha Hassamba Kata ya Vwawa, Wilaya ya Mbozi.






Mradi huo hadi sasa umetumia bilioni 13 na hadi kukamilika unatarajia kutumia Bilioni 16.7. Baadhi ya majengo ya Hospitali hiyo yamekamilika na mengine yako katika hatua ya ukamilishaji.

Hospitali hiyo imeanza kutoa huduma kwa wananchi wa Mkoa wa Songwe na Nchi za jirani ambapo hadi sasa wagonjwa 19,265 wamehudumiwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news