Benki Kuu ya Tanzania kuuza kwa njia ya mnada wa hadhara vifaa chakavu yakiwemo magari, pikipiki, mitambo, samani za ofisi, vifaa vya TEHAMA na vinginevyo

DAR ES SALAAM- Wananchi wote wametangaziwa kuwa, Benki Kuu ya Tanzania itauza kwa njia ya mnada wa hadhara vifaa chakavu yakiwemo magari, pikipiki, mitambo, samani za ofisi, vifaa vya TEHAMA na vifaa vingine katika mikoa ya Dodoma, Dar es Salaam, Mwanza, Arusha, Mbeya, Mtwara na katika ofisi za Benki Kuu zilizopo Unguja;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news