Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 12,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3120.83 na kuuzwa kwa shilingi 3153.04 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 12, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2482.96 na kuuzwa kwa shilingi 2507.79 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8049.54 na kuuzwa kwa shilingi 8127.39.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1829.20 na kuuzwa kwa shilingi 1846.95 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2819.62 na kuuzwa kwa shilingi 2845.88.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1627.08 na kuuzwa kwa shilingi 1643.86 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3294.26 na kuuzwa kwa shilingi 3306.88.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 236.59 na kuuzwa kwa shilingi 238.91 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.12 na kuuzwa kwa shilingi 131.39.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 676.19 na kuuzwa kwa shilingi 682.89 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 159.33 na kuuzwa kwa shilingi 160.74.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2670.17 na kuuzwa kwa shilingi 2697.38.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.19 na kuuzwa kwa shilingi 16.34 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.47.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 12th, 2023 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED676.1875682.8936679.540512-Dec-23
2ATS159.3316160.7434160.037512-Dec-23
3AUD1627.08391643.85631635.470112-Dec-23
4BEF54.349654.830754.590112-Dec-23
5BIF0.86870.87640.872612-Dec-23
6BWP180.7595183.3194182.039512-Dec-23
7CAD1829.20321846.9511838.077112-Dec-23
8CHF2819.62342845.88062832.75212-Dec-23
9CNY345.9849349.3717347.678312-Dec-23
10CUC103.4567104.4913103.97412-Dec-23
11DEM994.89541130.90871062.90212-Dec-23
12DKK358.1882361.7283359.958212-Dec-23
13DZD18.497418.605718.551612-Dec-23
14ESP13.177113.293313.235212-Dec-23
15EUR2670.17562697.37892683.777312-Dec-23
16FIM368.7419372.0094370.375712-Dec-23
17FRF334.2389337.1954335.717212-Dec-23
18GBP3120.83293153.04443136.938612-Dec-23
19HKD318.0795321.2562319.667812-Dec-23
20INR29.785730.077829.931712-Dec-23
21IQD1.89681.91291.904912-Dec-23
22IRR0.05910.05970.059412-Dec-23
23ITL1.13231.14231.137312-Dec-23
24JPY16.955517.121517.038512-Dec-23
25KES16.196716.337416.267112-Dec-23
26KRW1.88061.89771.889212-Dec-23
27KWD8049.53778127.39828088.46812-Dec-23
28MWK1.37051.47521.422912-Dec-23
29MYR530.5471535.2807532.913912-Dec-23
30MZM38.435938.760338.598112-Dec-23
31NAD130.1206131.3873130.753912-Dec-23
32NGN3.1473.17443.160712-Dec-23
33NLG994.89541003.7182999.306812-Dec-23
34NOK226.5247228.7337227.629212-Dec-23
35NZD1516.84051533.0121524.926312-Dec-23
36PKR8.31748.82718.572312-Dec-23
37QAR680.804687.4236684.113812-Dec-23
38RWF1.97522.02421.999712-Dec-23
39SAR662.0168668.6014665.309112-Dec-23
40SDR3262.26233294.8853278.573712-Dec-23
41SEK236.5986238.9077237.753112-Dec-23
42SGD1848.12831865.91521857.021712-Dec-23
43TRY85.64586.483686.064312-Dec-23
44UGX0.62560.65650.641112-Dec-23
45USD2482.96042507.792495.375212-Dec-23
46GOLD4947117.08474998315.62134972716.35312-Dec-23
47ZAR130.1206131.3949130.757712-Dec-23
48ZMK99.1141102.9893101.051712-Dec-23
49ZWD0.46460.4740.469312-Dec-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news