Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 15,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.26 na kuuzwa kwa shilingi 16.40 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 15, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3172.57 na kuuzwa kwa shilingi 3205.31 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2494.55 na kuuzwa kwa shilingi 2519.5 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8114.41 na kuuzwa kwa shilingi 8192.96.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1857.59 na kuuzwa kwa shilingi 1875.60 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2875.57 na kuuzwa kwa shilingi 2903.99.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1675.59 na kuuzwa kwa shilingi 1692.60 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3277.49 na kuuzwa kwa shilingi 3310.27.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 243.84 na kuuzwa kwa shilingi 246.22 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.72 na kuuzwa kwa shilingi 136.02.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 679.33 na kuuzwa kwa shilingi 685.93 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.07 na kuuzwa kwa shilingi 161.49.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2626.55 na kuuzwa kwa shilingi 2754.32.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 15th, 2023 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED679.3264685.9328682.629615-Dec-23
2ATS160.0756161.494160.784815-Dec-23
3AUD1675.59221692.60011684.096215-Dec-23
4BEF54.603355.086754.84515-Dec-23
5BIF0.87320.88010.876615-Dec-23
6CAD1857.58771875.60491866.596315-Dec-23
7CHF2875.56712903.98812889.777615-Dec-23
8CNY349.8674353.267351.567215-Dec-23
9DEM999.5411136.18941067.865215-Dec-23
10DKK365.7222369.3524367.537315-Dec-23
11ESP13.238613.355413.29715-Dec-23
12EUR2726.5482754.31742740.432715-Dec-23
13FIM370.4637373.7465372.105115-Dec-23
14FRF335.7996338.77337.284815-Dec-23
15GBP3172.57433205.30793188.941115-Dec-23
16HKD319.487322.6778321.082415-Dec-23
17INR29.939830.23230.085915-Dec-23
18ITL1.13761.14771.142615-Dec-23
19JPY17.610717.78317.696915-Dec-23
20KES16.261816.40316.332415-Dec-23
21KRW1.93121.94961.940415-Dec-23
22KWD8114.48338192.96318153.723215-Dec-23
23MWK1.37691.48211.429515-Dec-23
24MYR534.1659538.9305536.548215-Dec-23
25MZM38.723339.049938.886615-Dec-23
26NLG999.5411008.40511003.97315-Dec-23
27NOK236.2491238.5551237.402115-Dec-23
28NZD1550.11611566.62511558.370615-Dec-23
29PKR8.52468.93448.729515-Dec-23
30RWF1.98112.02892.00515-Dec-23
31SAR664.9663671.5443668.255315-Dec-23
32SDR3277.49533310.27033293.882815-Dec-23
33SEK243.8398246.2205245.030115-Dec-23
34SGD1877.29871895.50111886.399915-Dec-23
35UGX0.63520.66650.650915-Dec-23
36USD2494.55442519.52507.027215-Dec-23
37GOLD50843515136655.825110503.4115-Dec-23
38ZAR134.7163136.0443135.380315-Dec-23
39ZMW98.163102.004100.083515-Dec-23
40ZWD0.46680.47620.471515-Dec-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news