Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 29,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3183.53 na kuuzwa kwa shilingi 3216.38 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 29, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2493.56 na kuuzwa kwa shilingi 2518.5 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8120.51 na kuuzwa kwa shilingi 8199.04.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1885.06 na kuuzwa kwa shilingi 1903.09 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2981.31 na kuuzwa kwa shilingi 3008.96.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 16705.08 na kuuzwa kwa shilingi 1722.34 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3276.19 na kuuzwa kwa shilingi 3308.96.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 251.09 na kuuzwa kwa shilingi 253.52 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.37 na kuuzwa kwa shilingi 135.62.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 678.96 na kuuzwa kwa shilingi 685.69 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.01 na kuuzwa kwa shilingi 161.43.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2771.09 na kuuzwa kwa shilingi 2799.82.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.93 na kuuzwa kwa shilingi 15.99 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.64 na kuuzwa kwa shilingi 0.67 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 29th, 2023 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED678.9643685.6979682.331129-Dec-23
2ATS160.0121161.4299160.72129-Dec-23
3AUD1703.85251721.39481712.623629-Dec-23
4BEF54.581755.064954.823329-Dec-23
5BIF0.87130.87910.875229-Dec-23
6CAD1885.06521903.34041894.202829-Dec-23
7CHF2981.3063008.96062995.133329-Dec-23
8CNY351.1716354.5884352.8829-Dec-23
9DEM999.14431135.73851067.441429-Dec-23
10DKK371.7964375.4808373.638629-Dec-23
11ESP13.233413.350113.291729-Dec-23
12EUR2771.09812799.81652785.457329-Dec-23
13FIM370.3167373.5981371.957429-Dec-23
14FRF335.6663338.6355337.150929-Dec-23
15GBP3183.53363216.37643199.95529-Dec-23
16HKD319.0088322.1866320.597729-Dec-23
17INR29.986630.266430.126529-Dec-23
18ITL1.13711.14721.142229-Dec-23
19JPY17.706217.879517.792829-Dec-23
20KES15.933315.990515.961929-Dec-23
21KRW1.94051.95551.94829-Dec-23
22KWD8120.50798199.04298159.775429-Dec-23
23MWK1.37641.48141.428929-Dec-23
24MYR541.4906546.3124543.901529-Dec-23
25MZM38.70839.034438.871229-Dec-23
26NLG999.14431008.00481003.574529-Dec-23
27NOK246.1102248.4978247.30429-Dec-23
28NZD1579.17431595.97351587.573929-Dec-23
29PKR8.56748.97868.77329-Dec-23
30RWF1.96792.01671.992329-Dec-23
31SAR664.986671.6668.29329-Dec-23
32SDR3276.19443308.95643292.575429-Dec-23
33SEK251.089253.5233252.306129-Dec-23
34SGD1892.50481910.70481901.604829-Dec-23
35UGX0.63410.66540.649829-Dec-23
36USD2493.56442518.52506.032229-Dec-23
37GOLD5174121.1045226643.055200382.07729-Dec-23
38ZAR134.3703135.6183134.994329-Dec-23
39ZMW94.261897.95896.109929-Dec-23
40ZWD0.46660.4760.471329-Dec-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news