Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 6,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 676.80 na kuuzwa kwa shilingi 683.38 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 159.47 na kuuzwa kwa shilingi 160.88.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 6, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2687.44 na kuuzwa kwa shilingi 2715.32.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.22 na kuuzwa kwa shilingi 16.36 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.
 
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3136.01 na kuuzwa kwa shilingi 3169.13 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2485.15 na kuuzwa kwa shilingi 2510 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8049.58 na kuuzwa kwa shilingi 8127.45.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1830.68 na kuuzwa kwa shilingi 1848.44 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2844.07 na kuuzwa kwa shilingi 2870.87.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1629.76 na kuuzwa kwa shilingi 1647.06 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3265.14 na kuuzwa kwa shilingi 3297.79.
 
Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 237.93 na kuuzwa kwa shilingi 240.27 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.31 na kuuzwa kwa shilingi 132.59.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 6th, 2023 according to Central Bank;

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 676.8017 683.3837 680.0927 06-Dec-23
2 ATS 159.4721 160.8851 160.1786 06-Dec-23
3 AUD 1629.7604 1647.062 1638.4112 06-Dec-23
4 BEF 54.3974 54.879 54.6382 06-Dec-23
5 BIF 0.8702 0.8771 0.8736 06-Dec-23
6 CAD 1830.6803 1848.4425 1839.5614 06-Dec-23
7 CHF 2844.0701 2870.8681 2857.4691 06-Dec-23
8 CNY 347.9333 351.3585 349.6459 06-Dec-23
9 DEM 995.7721 1131.9053 1063.8387 06-Dec-23
10 DKK 360.5374 364.1164 362.3269 06-Dec-23
11 ESP 13.1887 13.3051 13.2469 06-Dec-23
12 EUR 2687.4396 2715.318 2701.3788 06-Dec-23
13 FIM 369.0669 372.3373 370.7021 06-Dec-23
14 FRF 334.5334 337.4926 336.013 06-Dec-23
15 GBP 3136.009 3169.126 3152.5675 06-Dec-23
16 HKD 317.8874 321.0622 319.4748 06-Dec-23
17 INR 29.8141 30.0923 29.9532 06-Dec-23
18 ITL 1.1333 1.1433 1.1383 06-Dec-23
19 JPY 16.8977 17.0632 16.9805 06-Dec-23
20 KES 16.2216 16.3625 16.292 06-Dec-23
21 KRW 1.8908 1.9084 1.8996 06-Dec-23
22 KWD 8049.5854 8127.4488 8088.5171 06-Dec-23
23 MWK 1.3717 1.4765 1.4241 06-Dec-23
24 MYR 533.1792 537.934 535.5566 06-Dec-23
25 MZM 38.5773 38.9027 38.74 06-Dec-23
26 NLG 995.7721 1004.6028 1000.1875 06-Dec-23
27 NOK 228.5341 230.7643 229.6492 06-Dec-23
28 NZD 1525.3842 1541.642 1533.5131 06-Dec-23
29 PKR 8.3057 8.8147 8.5602 06-Dec-23
30 RWF 1.9808 2.0318 2.0063 06-Dec-23
31 SAR 662.6002 669.1906 665.8954 06-Dec-23
32 SDR 3265.1372 3297.7886 3281.4629 06-Dec-23
33 SEK 237.9271 240.2673 239.0972 06-Dec-23
34 SGD 1856.1121 1873.5537 1864.8329 06-Dec-23
35 UGX 0.6308 0.6619 0.6464 06-Dec-23
36 USD 2485.1486 2510 2497.5743 06-Dec-23
37 GOLD 5030909.802 5081997 5056453.401 06-Dec-23
38 ZAR 131.308 132.5986 131.9533 06-Dec-23
39 ZMW 100.6511 104.5833 102.6172 06-Dec-23
40 ZWD 0.465 0.4744 0.4697 06-Dec-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news