Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 7,2023

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 237.67 na kuuzwa kwa shilingi 239.99 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.44 na kuuzwa kwa shilingi 132.73.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Desemba 7, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 678.57 na kuuzwa kwa shilingi 685.17 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 159.88 na kuuzwa kwa shilingi 161.30.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2685.43 na kuuzwa kwa shilingi 2713.29.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.26 na kuuzwa kwa shilingi 16.39 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3137.90 na kuuzwa kwa shilingi 3170.54 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2491.58 na kuuzwa kwa shilingi 2516.5 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8076.71 na kuuzwa kwa shilingi 8154.83.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1837.31 na kuuzwa kwa shilingi 1855.14 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2849.48 na kuuzwa kwa shilingi 2876.99.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1638.22 na kuuzwa kwa shilingi 1655.35 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3273.59 na kuuzwa kwa shilingi 3306.33.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today December 7th, 2023 according to Central Bank;
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 678.5729 685.1721 681.8725 07-Dec-23
2 ATS 159.8851 161.3017 160.5934 07-Dec-23
3 AUD 1638.2166 1655.3537 1646.7851 07-Dec-23
4 BEF 54.5383 55.0211 54.7797 07-Dec-23
5 BIF 0.8721 0.8791 0.8756 07-Dec-23
6 CAD 1837.3159 1855.1419 1846.2289 07-Dec-23
7 CHF 2849.4786 2876.9864 2863.2325 07-Dec-23
8 CNY 348.113 351.5254 349.8192 07-Dec-23
9 DEM 998.3508 1134.8365 1066.5937 07-Dec-23
10 DKK 360.2846 363.8348 362.0597 07-Dec-23
11 ESP 13.2229 13.3395 13.2812 07-Dec-23
12 EUR 2685.4295 2713.2903 2699.3599 07-Dec-23
13 FIM 370.0226 373.3014 371.662 07-Dec-23
14 FRF 335.3998 338.3666 336.8832 07-Dec-23
15 GBP 3137.9011 3170.5383 3154.2197 07-Dec-23
16 HKD 319.0412 322.2234 320.6323 07-Dec-23
17 INR 29.9048 30.184 30.0444 07-Dec-23
18 ITL 1.1362 1.1463 1.1413 07-Dec-23
19 JPY 16.9219 17.0853 17.0036 07-Dec-23
20 KES 16.2583 16.3995 16.3289 07-Dec-23
21 KRW 1.8946 1.9124 1.9035 07-Dec-23
22 KWD 8076.7097 8154.8333 8115.7715 07-Dec-23
23 MWK 1.3753 1.4803 1.4278 07-Dec-23
24 MYR 533.9872 538.7498 536.3685 07-Dec-23
25 MZM 38.6772 39.0034 38.8403 07-Dec-23
26 NLG 998.3508 1007.2043 1002.7776 07-Dec-23
27 NOK 227.7749 229.9979 228.8864 07-Dec-23
28 NZD 1533.8192 1549.409 1541.6141 07-Dec-23
29 PKR 8.3316 8.8454 8.5885 07-Dec-23
30 RWF 1.9716 2.0312 2.0014 07-Dec-23
31 SAR 664.3161 670.9235 667.6198 07-Dec-23
32 SDR 3273.5927 3306.3287 3289.9607 07-Dec-23
33 SEK 237.6717 239.9958 238.8338 07-Dec-23
34 SGD 1858.6976 1876.5846 1867.6411 07-Dec-23
35 UGX 0.6341 0.6654 0.6498 07-Dec-23
36 USD 2491.5842 2516.5 2504.0421 07-Dec-23
37 GOLD 5050484.6918 5102867.8544 5076676.2731 07-Dec-23
38 ZAR 131.4397 132.7323 132.086 07-Dec-23
39 ZMW 100.5967 104.5275 102.5621 07-Dec-23
40 ZWD 0.4663 0.4757 0.471 07-Dec-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news