Nimemkuta mume wangu akila uroda kwenye madanguro!
KISUMU-Kwa kawaida mwanamke akiwa mjamzito huhitaji kuonyeshwa upendo wa hali juu,kwani hupitia kipindi kigumu cha mabadiliko katika mwili wake, mume anapaswa kuwa karibu yake ili kumtia moyo.
Hata hivyo, hii ilikuwa tofauti kabisa na mume wangu ambapo nilipokuwa mjamzito wa miezi sita, mambo yalibadilika sana kwenye ndoa yetu hasa baada ya mimi kushindwa kushiriki tendo la ndoa kila wakati.
Alichukua fursa hiyo na kuanza kulala nje kila mara, alinieleza bila kunificha kwamba alifanya vile kwa sababu alikuwa na tamaa ya mapenzi, na kwa vile nilikuwa mjamzito ingekuwa ni vigumu kwangu kuweza kumtosheleza.
Nilihisi sana uchungu moyoni mwangu, kwani sikutarajia ya kwamba mume wangu niliyekuwa namthamini angeweza kufanya vitu kama vile tena wazi wazi bila kificho.
Hali hii ilinipa msongo wa mawazo kwani nilifikiria hadi kujitoa uhai, lakini rafiki zangu walinieleza kuwa lilikuwa ni suala la kawaida kwa wanaume wote kufanya hivyo kipindi wake wao ni wajawazito.
Siku moja nilipokuwa nikipita kwenye vitongoji duni nikitoka kliniki, nilishutushwa na sauti za watu walikuwa wakishiriki mapenzi, nilipokaribia nilisikia sauti kama ya mume wangu.
Mwandada yule alionekana kuwa kahaba kwani alimwambia afanye haraka kwani muda wa pesa alizompa ulikuwa umeanza kuisha na alitaka mume wangu aharakishe au aongeze pesa. Jambo hilo lilinisononesha sana!.
Tabia hii ya mume wangu nilijua ingeniletea ugonjwa wa zinaa iwapo nisingechukua hatua na kuikomesha, suala lililonisumbua ni kwamba sikujua jinsi gani ningeweza kuisitisha tabia ile.
Rafiki yangu Wanjiru aliniambia kuwa mume wake aliwahi kuwa na tabia kama hiyo lakini kwa msaada wa African Doctors aliweza kuikomesha mara moja na mumewe kutulia nyumbani. Alinipa namba ya simu ya African Doctors na hapo hapo nilimpigia na kumueleza shida yangu.
Siku iliyofuatia nilifunga safari na kuelekea katika ofisi za African Doctors, alinihoji kwa muda na akanishughulikia ndani ya muda mfupi tu, alinipa mafuta na kunishauri niyapake katika mavazi ya mume wangu.
Nilipowasili nyumbani nilifanya jinsi alivyoniambia, nilipaka mafuta yale kwenye kila nguo ya mume wangu zikiwemo nguo za ndani, na baada ya siku moja, mume wangu alikuja nyumbani huku akionekana na uchovu sana.
Baada ya dakika kama 20 hivi, machozi yalimdondoka huku akisema kuwa alikuwa akijutia mambo aliyokuwa akifanya nje ya ndoa yetu. Wakati ule nilifahamu fika kwamba yale mafuta ya African Doctors yalikuwa yamefanya kazi, alilia sana hadi nikamuonea huruma na kumsamehe.
Pia African Doctors ana uwezo wa kumaliza majini yanayokusumbua, kutatua mizozo ya mashamba, ndoa na kadhalika. Ana pia uwezo wa kupandisha biashara yako hadhi na pia kukusaidia kupata kazi iwapo ulikuwa umekaa muda mrefu bila ya kazi.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com