Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Desemba 27,2023


























Mdogo wangu kaolewa na mume wangu, mimi nimefukuzwa!

NAKURU-Jina langu ni Milkah kutoka katika kaunti ya Busia, kwa hakika mambo mengi hupelekea ndoa kuvunjika lakini kwa yale yaliyonikumba ni mambo ambayo kusahau itakuwa ni vigumu sana.

Tuliishi pamoja na mume wangu kwa miaka 13 kwa upendo na amani, kila tulipokuwa na misukosuko kwenye ndoa, tulisuluhisha kwa kuongea kwa pamoja tena kwa upole kwani kila mtu alikuwa na mapenzi ya ajabu kwa mwenzake.

Nilikuwa na mdogo wangu wa kike ambaye alikuwa anasoma Chuo Kikuu, kila mara alinitembelea wakati akiwa kwenye likizo kutoka chuoni Nairobi. Nilikuwa namkaribisha kwa moyo mkunjufu kwa sababu mimi ndiye nilikuwa dada mkubwa na alinipenda sana kwa ukarimu wangu.

Kila mara nilimwalika kwangu kwa maana nilikuwa nimejifungua kwa hivyo nilitaka anisaidie kazi za pale nyumbani kwani zilikuwa nyingi sana kwangu kuzifanya pekee yangu.

Mwaka uliopita alikuja kunisaidia kazi za pale nyumbani, hakuonekana kuwa mtu wa kufanya wanandoa kukosana kwani kila nilichomwambia ama mume wangu kumwambia alifanya bila ya malalamishi yoyote.

Siku zilivyosonga hali ilianza kubadilika, alianza kuwa na uhusiano wa karibu na mume wangu jambo ambalo sikuwa nafurahia ila akilini nilijiambia ulikuwa tu ni uhusiano wa kawaida wa mtu na shemeji yake na hilo halikuwa na tabu yeyote.

Siku ziliposonga, nilishanga mbona kila wakati macho ya mume wangu yalipokutana na mdogo wangu aliweza kutabasamu, hali ile ilianza kunitia wasiwasi.

Mara mdogo wangu alianza kuvaa nguo nzuri na za kuvutia suala ambalo nilishangaa ni wapi alipokuwa akitoa hela za kununua nguo zile za thamani.

Kumbe mume wangu ndiye alikuwa mfadhili wake na suala hilo lilinichukiza kama mke wa ndoa, kila wakati mume wangu alikataa kunieleza ukweli kuhusu ukaribu wake na dada yangu na kila mara alicheka na kuniambia kwamba hakuna lolote.

Siku moja mume wangu aliniambia niondoke kwenye ndoa ile kwani mdogo wangu alikuwa kashamzuzua na tayari walikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na yeye!.

Jambo hilo lilinishangaza sana ila sikuwa na jinsi, niliamua kuchukua vitu vyangu na kuondoka, sikuamini kama mdogo wangu anaweza kunipora mume wangu.

Baada ya kufanya utafiti wangu, nilikutana na tovuti ya African Doctors ambayo ni; www.african-doctors.com nilisoma kwa makini na kubaini anaweza kunisaidia, basi nilichukua namba yake katika tovuti hiyo na kuwasiliana naye.

Nilimueleza yalikuwa yamenikumba na hapo hapo akanishughulikia, baada ya siku tatu mume wangu na mdogo wangu walinipigia simu na kuniambia wanataka kuniomba msamaha. Nilikutana nao na kuzungumza nao, niliweza kuwasamehe na mimi kurejea kwenye ndoa yangu.

Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news