GEITA-Uongozi wa Hospitali ya Samaku umekiri kuwa watumishi walio kwenye video inayosambaa mtandaoni ikiwaonyesha wakisheherekea siku ya kuzaliwa kwa mtumishi mwenzao kwa kumwagia dripu kuwa ni wa Hospitali Binafsi ya Sakamu iliyopo Geita.
Wizara ya Afya imeupongeza Uongozi wa Hospitali hii kwa kuchukua hatua za haraka za uwajibishaji.