LIVE:Waziri Mchengerwa akitangaza uchaguzi wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2024
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa akitangaza uchaguzi wa wanafunzi wa Kidato cha Kwanza 2024 leo Desemba 17, 2023 jijini Mwanza;
OFISI YA RAIS - TAMISEMI NA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
WALIOCHANGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2024
Bonyeza kwenye mkoa wako kuchagua shule husika hapa chini;