MAAFA KATESH:Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) watoa pole


Kuhusu TAGCO

Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) ni shirika lisilo la faida, lililosajiliwa chini ya sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

TAGCO hupata wanachama wake kutoka Serikali Kuu, mamlaka za Serikali za mitaa,makala wa Serikali, idara zinazojitegemea na mashirika ya umma,taasisi au mamlaka zozote zilizopewa mamlaka na serikali.

Aidha, lengo kuu ni kuendeleza mawasiliano kama nyenzo muhimu ya kitaaluma katika kila ngazi ya Serikali ya kitaifa na ya mitaa.

Katika kutekeleza azma hiyo,pamoja na mambo mengine, wamejidhatiti;

-Kuunganisha maafisa mawasiliano katika jitihada za kuunda jukwaa la kubadilishana mawazo na uzoefu kupitia mikutano, warsha,maonesho na mafunzo;
 
-Kuanzisha na kukuza viwango vya juu vya uadilifu wa kitaaluma na maadili;

-Kuimarisha mawasiliano ndani ya Serikali na kati ya Serikali na Umma; na mengineyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news