Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali wakiwemo baadhi ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu wakuu na viongozi Mkoa wa Manyara na wilaya ya Hanang, kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, uliopo Katesh leo Desemba 4, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alipokea taarifa ya mafuriko yaliyotokea Katesh.