HomeHabari MAAFA KATESH:WMA yawapa pole wananchi BODI ya Ushauri na watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA) inatoa pole kwa wananchi wote wa Hanang' Mkoa wa Manyara, walioathirika na kupoteza ndugu,jamaa na marafiki kufuatia mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Tags Habari Maafa Katesh Wakala wa Vipimo (WMA) Facebook Twitter