Salamu za Mwaka Mpya 2024 kutoka kwa Mheshimiwa Prof.Muhongo
MARA-Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara, Prof. Sospeter Muhongo ametoa salamu za mwaka mpya 2024 kwa wananchi wa jumbo hilo na Watanzania kwa ujumla huku akielezea furaha ya kuanza mwaka 2024 kwa kufungua shule mpya jimboni humo;