Shirika la Changamoto za Millenia (MCC) larejesha ushirikiano tena na Tanzania

DODOMA-Shirika la Changamoto za Millenia (MCC) limeichagua tena Tanzania kuingia katika mpango wa kupata msaada wa fedha zitakazolenga kusaidia mabadiliko ya Sera na Kitaasisi nchini ili iweze kufanikiwa kupata Mpango wa Compact.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Changamoto za Millenia (MCC) Bi. Alice Albright kwa njia ya video, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Desemba, 2023.

Mara ya mwisho MCC iliwahi kutoa msaada wa Fedha wa Dola za Kimarekani milioni 698 mwaka 2008 ambazo zilitumika hadi 2013.

Mwaka 2016, Bodi ya Shirika la Changamoto za Millenia MCC, ilifunga ofisi zake ikiwa ni miezi sita tangu kusitisha misaada yake Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news