KISUMU-Kwa hakika uchawi na mambo ya kishirikina huwa yamesimika mizizi katika sehemu nyingi za Afrika, jina langu ni Julius, nilililewa katika Mkoa wa magharibi mwa Kenya katika kauti ya Busia ambapo suala zima la uchawi lilikuwa limekithiri.
Baba yetu ambaye ni marehemu alikuwa na ugomvi na jirani yetu mmoja kabla ya kifo chake, kulingana na jinsi mama alivyotuambia ni kwamba jirani yule alisema kuwa lolote ambalo tungejaribu kufanya halingefua dafu.
Mama pia alituambia kuwa jirani yule alikuwa mchawi na ndiye aliyepelekea kifo cha baba yetu mzazi, kwa hakika maneno yale yalitukosesha usingizi na hata wakati mmoja nilikuwa na mawazo ya kwenda kumuomba jirani yule msamaha lakini niliacha hali jinsi ilivyokuwa. Familia yetu ilikumbwa na matatizo si haba.
Nilikuwa kitinda mimba katika familia yetu, masomo ya jamaa zangu yalikumbwa na misukosuko kwani kila tulipokaribia kufanya mtihani tulifukuzwa shuleni kwa ukosefu wa karo.
Mama alituelezea fika kwamba jirani yule ambaye alikisiwa kuwa ni mchawi alikuwa amesema kwamba hatutafanikiwa kwa lolote tulilojaribu.
Ama kwa hakika hakuna hata yeyote kwenye familia yetu ya watoto wane ambao ni dada zangu watatu na mimi aliyemaliza hata darasa la nane, jirani yetu alikuwa kiini cha mahangaiko yetu kila mara.
Baada ya mwaka mmoja kupita dada zangu wote watatu waliolewa kwa sababu mama yangu ambaye alikuwa ni mjane hangeweza kututimizia mahitaji yetu sote.
Mara maisha ya ndoa yaliwashinda dada zangu na wakarejea nyumbani, kwani walisema kuwa wanaume zao walikuwa ni watu ambao hawakuwajibika.
Maisha yalikuwa magumu pale nyumbani, kwani hata kupata chakula ilikuwa ni vigumu, kama kijana pekee kwenye familia ile nilijitahidi kwani nilitafuta kazi.
Siku zilivyosonga ndipo hali ilikuwa ngumu hata zaidi kwani Dada zangu wawili walijifungulia pale nyumbani, hivyo maisha yalikuwa yanazidi kuwa magumu.
Siku moja shangazi yetu alitutembelea pale nyumbani na akawa mwenye masononeko sana, alitupa moyo na kutuambia kwamba shida zetu ambazo zilitokana na nguvu za uchawi zitaisha tukipata usaidizi wa African Doctors.
Siku iliyofuatia tulienda kwa African Doctors ambaye alisema kuwa jirani yetu ndiye aliyekuwa ametuloga, alinihudumia na kunipa hakikisho kwamba baada ya siku tatu hali itarejea kama kawaida na hata dada zangu wangerejea kwa waume zao.
Nilirejea nyumbani na kwa kweli baada ya siku tatu mambo yalikuwa yameanza kubadilika, nilipata kazi jijini. Dada zangu walirejea kwa waume zao.
Yule jirani ambaye alikuwa kaleta mambo hayo yote alikuja nyumbani huku akiomba msamaha na kusema kuwa hakulala kwa siku tatu kwani aliota kuwa alikuwa akinyongwa.
Sikusita bali tulimuelekeza kwa African Doctors, alilipa kitita cha Ksh70,000 ili kurejeshewa hali ya kawaida, na tangu siku ile tuliishi kwa amani na upendo na jirani yule kwani aling’amua kwamba pwagu hupata pwaguzi kwa wakati wowote ule.
Vile vile African Doctors ana uwezo wa kutibu maradhi kama vile kisonono, kaswende na mengineyo kwa muda wa siku tatu pekee, ana uwezo wa kukemea majini yanayokusumbua kwenye usingizi, kuwezesha biashara yako kunawiri n.k.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com