Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) leo Desemba 17,2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 17 Desemba, 2023.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) iliyofanyika katika ukumbi wa Super Dome , Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023.
Viongozi, Wazalishaji, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 17 Desemba, 2023.
Viongozi, Wazalishaji, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 17 Desemba, 2023.
Viongozi, Wazalishaji, wafanyabiashara pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 17 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) tarehe 17 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) katika ukumbi wa Super Dome Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Desemba, 2023.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news