VUGA-Tume ya Mipango Zanzibar kupitia Idara ya Utafiti imefanya kikao kazi cha kujadili "Policy Brief" kuhusiana na masuala ya ongezeko la Idadi ya Watu Zanzibar katika kusaidia ukuaji wa uchumi Zanzibar.
Katika kikao hicho kulikuwa na mada zinazohusu masuala ya "Ukuaji wa Idadi ya watu na athari za kiuchumi.
Sambamba na njia endelevu za matumizi ya maji katika sekta za utalii na mabaki ya sumu nzito zinazobakia katika mbogamboga.
Aidha katika kikao kazi hicho kimeweza kuonesha jinsi uchumi wa Zanzibar unavokuwa kulinganisha na nchi za Afrika ya Mashariki kutoka asilimia 5.3 mwaka 2012 hadi asilimia mwaka 6.8.