Wadau waalikwa kutoa maoni kuhusu miswada mitano ya sheria
DODOMA-Kamati mbili za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Miswada mitano (5) ya Sheria ambayo ilisomwa Mara ya Kwanza Bungeni tarehe 10 Novemba, 2023 wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge;