Watumia jina la TANESCO kwa nia ovu kuelekea Sikukuu

DAR ES SALAAM-Watu wenye nia ovu wameunda mtandao ambao wanadai ni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linatoa ofa kwa wateja wake.
DIRAMAKINI katika uchunguzi wake wa awali imebaini hilo baada ya kutaka kijiridhisha kuhusu jambo hilo.

Kupitia mtandao huo, imeonesha baadhi ya watu kupongeza kuhusu uniti za bure za umeme huku wakijua kuwa dhamira yao ni kulaghai Watanzania. Uchunguzi zaidi unaendelea ili kupata taarifa za kina juu ya wanaohusika na uovu huu; 

Hakikisha hausambazi wala kufuata maelekezo haya chini kupitia link utakayokutana nayo mtandaoni hususani WhatsApp;

unicef

KAMPUNI YA HUDUMA YA UMEME TANZANIA LIMITED (TANESCO) YATOA VITENGO 90 BURE KWA WATEJA WOTE KUSHEREHEKEA KRISMASI NA MWAKA MPYA.....
Mpaka leo
42079

Watu wamepokea zawadi hii.

Hongera sana, .

Unastahili kupokea TANESCO uniti 90 bure.
Tafadhali fuata hatua zilizo hapa chini ili kuipokea.
Jinsi ya kuendelea:


1. Ishiriki na vikundi 5 au marafiki 15 kwenye WhatsApp (Bofya ikoni ya "SHARE" hapa chini).

2.Utaelekezwa upya kiotomatiki kwenye ukurasa wetu wa "DAI KITENGO" mara upau wa uthibitishaji wa KIJANI utakapokamilika.

3. Utapokea ujumbe wa uthibitisho ndani ya saa 4 baada ya kutuma ombi lililofaulu.

94%

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news