Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 2,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1878.35 na kuuzwa kwa shilingi 1896.56 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2971.94 na kuuzwa kwa shilingi 2999.87.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 2, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1690.28 na kuuzwa kwa shilingi 1708.44 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3270.19 na kuuzwa kwa shilingi 3307.89.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 247.94 na kuuzwa kwa shilingi 250.34 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.18 na kuuzwa kwa shilingi 136.48.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 677.76 na kuuzwa kwa shilingi 684.35 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 159.72 na kuuzwa kwa shilingi 161.13.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2751.09 na kuuzwa kwa shilingi 2779.71.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.90 na kuuzwa kwa shilingi 15.96 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3164.51 na kuuzwa kwa shilingi 3197.16 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2489 na kuuzwa kwa shilingi 2513.89 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8101.16 na kuuzwa kwa shilingi 8179.51.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 2nd, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED677.7584684.3496681.05402-Jan-24
2ATS159.7192161.1344160.426802-Jan-24
3AUD1690.27991708.43961699.359802-Jan-24
4BEF54.481854.96454.722902-Jan-24
5BIF0.87050.8770.873802-Jan-24
6CAD1878.34881896.55981887.454302-Jan-24
7CHF2971.94032999.86872985.904502-Jan-24
8CNY350.3907353.7551352.072902-Jan-24
9DEM997.31541133.65951065.487502-Jan-24
10DKK369.2166372.8534371.03502-Jan-24
11ESP13.209113.325713.267402-Jan-24
12EUR2751.09172779.60812765.349902-Jan-24
13FIM369.6389372.9143371.276602-Jan-24
14FRF335.0519338.0157336.533802-Jan-24
15GBP3164.51463197.16543180.8402-Jan-24
16HKD318.645321.8274320.236202-Jan-24
17INR29.932430.211830.072102-Jan-24
18ITL1.13511.14511.140102-Jan-24
19JPY17.587617.759717.673702-Jan-24
20KES15.904215.961215.932702-Jan-24
21KRW1.921.9351.927502-Jan-24
22KWD8101.15878179.50818140.333402-Jan-24
23MWK1.37391.47871.426302-Jan-24
24MYR542.2658546.4978544.381802-Jan-24
25MZM38.637138.962938.802-Jan-24
26NLG997.31541006.15971001.737502-Jan-24
27NOK244.7346247.0702245.902402-Jan-24
28NZD1570.5591587.27021578.914602-Jan-24
29PKR8.5618.97188.766402-Jan-24
30RWF1.9612.01321.987102-Jan-24
31SAR663.7687670.3349667.051802-Jan-24
32SDR3270.19753302.89953286.548502-Jan-24
33SEK247.9454250.3451249.145202-Jan-24
34SGD1885.17761903.30861894.243102-Jan-24
35UGX0.6330.66420.648602-Jan-24
36USD24892513.892501.44502-Jan-24
37GOLD5137578.00375190958.86255164268.433102-Jan-24
38ZAR135.1844136.4776135.83102-Jan-24
39ZMW93.906397.588995.747602-Jan-24
40ZWD0.46580.47520.470502-Jan-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news