Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 18,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 238.50 na kuuzwa kwa shilingi 240.84 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.07 na kuuzwa kwa shilingi 132.28.
Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 679.83 na kuuzwa kwa shilingi 686.44 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.20 na kuuzwa kwa shilingi 161.23.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 18, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2713.79 na kuuzwa kwa shilingi 2741.94.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.55 na kuuzwa kwa shilingi 15.61 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3164.68 na kuuzwa kwa shilingi 3197.34 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.95 na kuuzwa kwa shilingi 2.00.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2496.59 na kuuzwa kwa shilingi 2521.56 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8109.25 na kuuzwa kwa shilingi 8187.68.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1856.73 na kuuzwa kwa shilingi 1864.64 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2888.91 na kuuzwa kwa shilingi 2916.45.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1636.77 na kuuzwa kwa shilingi 1663.64 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3280.17 na kuuzwa kwa shilingi 3312.98.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 18th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED679.8263686.4376683.13218-Jan-24
2ATS160.2065161.626160.916318-Jan-24
3AUD1636.76711653.6391645.203118-Jan-24
4BEF54.64855.131754.889918-Jan-24
5BIF0.87160.87960.875618-Jan-24
6BWP181.752184.5782183.165118-Jan-24
7CAD1846.72981864.64541855.687618-Jan-24
8CHF2888.90772916.44692902.677318-Jan-24
9CNY347.0384350.46348.749218-Jan-24
10CUC104.0248105.065104.544918-Jan-24
11DEM1000.35821137.11841068.738318-Jan-24
12DKK363.9403367.5261365.733218-Jan-24
13DZD18.550218.65418.602118-Jan-24
14ESP13.249513.366313.307918-Jan-24
15EUR2713.79772741.94432727.87118-Jan-24
16FIM370.7666374.0521372.409418-Jan-24
17FRF336.0742339.047337.560618-Jan-24
18GBP3164.68263197.33813181.010418-Jan-24
19HKD319.0576322.2441320.650918-Jan-24
20INR30.030930.323930.177418-Jan-24
21IQD1.90731.92341.915318-Jan-24
22IRR0.05940.060.059718-Jan-24
23ITL1.13851.14861.143618-Jan-24
24JPY16.900917.066416.983618-Jan-24
25KES15.555115.613415.584218-Jan-24
26KRW1.85641.87411.865318-Jan-24
27KWD8109.24768187.68068148.464118-Jan-24
28MWK1.37811.48331.430718-Jan-24
29MYR529.5003534.2288531.864618-Jan-24
30MZM38.75539.081838.918418-Jan-24
31NAD131.0548132.2959131.675418-Jan-24
32NGN2.9032.92862.915818-Jan-24
33NLG1000.35821009.22951004.793918-Jan-24
34NOK237.746240.0548238.900418-Jan-24
35NZD1526.91691543.19471535.055818-Jan-24
36PKR8.47828.99758.737818-Jan-24
37QAR685.0306691.5014688.26618-Jan-24
38RWF1.95582.00521.980518-Jan-24
39SAR665.6874672.3084668.997918-Jan-24
40SDR3280.17513312.97683296.575918-Jan-24
41SEK238.5023240.8413239.671818-Jan-24
42SGD1857.44671875.88161866.664118-Jan-24
43TRY82.840783.658583.249618-Jan-24
44UGX0.62870.66010.644418-Jan-24
45USD2496.59412521.562509.07718-Jan-24
46GOLD5060071.87375111454.2765085763.074818-Jan-24
47ZAR131.0713132.2779131.674618-Jan-24
48ZMK92.255195.876894.06618-Jan-24
49ZWD0.46720.47660.471918-Jan-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news