Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 23,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2501.58 na kuuzwa kwa shilingi 2526.6 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8132.06 na kuuzwa kwa shilingi 8210.71.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 23, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1864.07 na kuuzwa kwa shilingi 1882.01 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2882.67 na kuuzwa kwa shilingi 2909.49.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1649.04 na kuuzwa kwa shilingi 1666.54 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3286.73 na kuuzwa kwa shilingi 3319.59.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.93 na kuuzwa kwa shilingi 242.29 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.53 na kuuzwa kwa shilingi 131.82.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 681.18 na kuuzwa kwa shilingi 687.79 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.53 na kuuzwa kwa shilingi 161.95.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2724.22 na kuuzwa kwa shilingi 2752.48.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.44 na kuuzwa kwa shilingi 15.50 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.37 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3181.51 na kuuzwa kwa shilingi 3214.59 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.93 na kuuzwa kwa shilingi 1.98.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 23rd, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED681.1851687.7909684.48823-Jan-24
2ATS160.5267161.9491161.237923-Jan-24
3AUD1649.04431666.54541657.794823-Jan-24
4BEF54.757255.241954.999623-Jan-24
5BIF0.87420.88190.87823-Jan-24
6BWP182.1153184.4418183.278623-Jan-24
7CAD1864.07171882.01121873.041423-Jan-24
8CHF2882.67362909.48872896.081223-Jan-24
9CNY347.6837351.1361349.409923-Jan-24
10CUC104.2327105.275104.753823-Jan-24
11DEM1002.35771139.39121070.874523-Jan-24
12DKK365.3334368.9598367.146623-Jan-24
13DZD18.700118.700218.700123-Jan-24
14ESP13.275913.393113.334523-Jan-24
15EUR2724.22512752.4782738.351623-Jan-24
16FIM371.5077374.7997373.153723-Jan-24
17FRF336.7459339.7246338.235323-Jan-24
18GBP3181.51473214.59323198.05423-Jan-24
19HKD319.9939323.1897321.591823-Jan-24
20INR30.105130.38630.245623-Jan-24
21IQD1.91111.92721.919123-Jan-24
22IRR0.05960.06010.059923-Jan-24
23ITL1.14081.15091.145923-Jan-24
24JPY16.926617.092417.009523-Jan-24
25KES15.441915.500615.471223-Jan-24
26KRW1.86841.88581.877123-Jan-24
27KWD8132.05958210.7118171.385323-Jan-24
28MWK1.38081.48621.433523-Jan-24
29MYR529.5479534.2779531.912923-Jan-24
30MZM38.832439.1638.996223-Jan-24
31NAD130.5424131.8272131.184823-Jan-24
32NGN2.74752.77192.759723-Jan-24
33NLG1002.35771011.24671006.802223-Jan-24
34NOK238.228240.5598239.393923-Jan-24
35NZD1530.71931547.03721538.878323-Jan-24
36PKR8.49979.02688.763223-Jan-24
37QAR686.3057692.7886689.547123-Jan-24
38RWF1.92871.98161.955223-Jan-24
39SAR667.0002673.6343670.317223-Jan-24
40SDR3286.73143319.59873303.16523-Jan-24
41SEK239.9302242.2923241.111323-Jan-24
42SGD1865.741883.69491874.717423-Jan-24
43TRY82.735383.529583.132423-Jan-24
44UGX0.63110.66140.646323-Jan-24
45USD2501.58422526.62514.092123-Jan-24
46GOLD5075238.95645128568.4785101903.717223-Jan-24
47ZAR130.5308131.8183131.174523-Jan-24
48ZMK91.671295.271593.471323-Jan-24
49ZWD0.46810.47760.472923-Jan-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news