Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 26,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.32 na kuuzwa kwa shilingi 15.38 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 26, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3178.48 na kuuzwa kwa shilingi 3211.53 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.93 na kuuzwa kwa shilingi 1.98.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2498.02 na kuuzwa kwa shilingi 2523 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8122.58 na kuuzwa kwa shilingi 8200.88.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1849.29 na kuuzwa kwa shilingi 1867.23 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2889.22 na kuuzwa kwa shilingi 2916.42.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1644.95 na kuuzwa kwa shilingi 1662.66 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3282.05 na kuuzwa kwa shilingi 3314.87.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 239.72 na kuuzwa kwa shilingi 242.06 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 132.03 na kuuzwa kwa shilingi 133.31.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 680.14 na kuuzwa kwa shilingi 686.90 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.29 na kuuzwa kwa shilingi 161.72.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2720.59 na kuuzwa kwa shilingi 2748.81.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 26th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED680.1404686.9044683.522426-Jan-24
2ATS160.298161.7183161.008226-Jan-24
3AUD1644.9461662.6571653.801526-Jan-24
4BEF54.679255.163254.921226-Jan-24
5BIF0.87180.87930.875626-Jan-24
6BWP182.855185.1882184.021626-Jan-24
7CAD1849.28921867.22911858.259126-Jan-24
8CHF2889.22022916.42582902.82326-Jan-24
9CNY348.4815351.9074350.194426-Jan-24
10CUC104.0842105.125104.604626-Jan-24
11DEM1000.92951137.76781069.348626-Jan-24
12DKK364.9728368.601366.786926-Jan-24
13DZD18.641718.755618.698726-Jan-24
14ESP13.25713.37413.315526-Jan-24
15EUR2720.59342748.80852734.700926-Jan-24
16FIM370.9783374.2657372.62226-Jan-24
17FRF336.2661339.2406337.753326-Jan-24
18GBP3178.48043211.52673195.003526-Jan-24
19HKD319.5666322.7581321.162326-Jan-24
20INR30.063330.343830.203626-Jan-24
21IQD1.90831.92451.916426-Jan-24
22IRR0.05950.06010.059826-Jan-24
23ITL1.13921.14931.144226-Jan-24
24JPY16.919717.085417.002526-Jan-24
25KES15.325315.384115.354726-Jan-24
26KRW1.86831.88631.877326-Jan-24
27KWD8122.32098200.87768161.599326-Jan-24
28MWK1.37891.48411.431526-Jan-24
29MYR528.2343532.9531530.593726-Jan-24
30MZM38.777139.104238.940626-Jan-24
31NAD131.9958133.3016132.648726-Jan-24
32NGN2.77562.80022.787926-Jan-24
33NLG1000.92951009.80591005.367726-Jan-24
34NOK238.9192241.2207240.0726-Jan-24
35NZD1528.28851543.82371536.056126-Jan-24
36PKR8.49369.01398.753826-Jan-24
37QAR685.4782692.1431688.810726-Jan-24
38RWF1.9291.99441.961726-Jan-24
39SAR666.1386672.7641669.451426-Jan-24
40SDR3282.04833314.86883298.458526-Jan-24
41SEK239.7217242.0608240.891326-Jan-24
42SGD1864.88971882.41441873.652126-Jan-24
43TRY82.505583.300382.902926-Jan-24
44UGX0.63020.66050.645426-Jan-24
45USD2498.019825232510.509926-Jan-24
46GOLD5034234.32675085611.15059922.713426-Jan-24
47ZAR132.0341133.3101132.672126-Jan-24
48ZMK90.413493.966592.189926-Jan-24
49ZWD0.46750.47690.472226-Jan-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news