Majiji 10 yenye uhalifu wa kutisha Afrika

NA DIRAMAKINI 

BAADHI ya majiji barani Afrika yanaonekana kuwa hatari zaidi kutokana na usalama mdogo.
Hali hiyo inatokana na ongezeko kubwa la uhalifu unaochochewa na dawa za kulevya, utekaji na wakati mwingine uhalifu wa silaa.

Kwa mujibu wa Numbeo katika uhuisho lake la taarifa za uhalifu kwenye majiji,viwango vya uhalifu katika miji hutofautiana, huku takwimu za juu zikizingatiwa katika maeneo yenye watu wengi ikilinganishwa na maeneo ya vijijini au mijini. 

Kulingana na taarifa hiyo, idadi ya uhalifu uliofanywa katika eneo fulani katika kipindi fulani, mara nyingi kwa kila mtu kwa mwaka, hupimwa kama kiwango cha uhalifu katika eneo hilo. 

Na wakati mwingine huoneshwa kama idadi ya makosa ya jinai au matukio kwa kila watu 100,000. 

Numbeo imeonesha kuwa, viwango vya uhalifu kati ya 40 na 60 ni vya wastani, vilivyo kati ya 60 na 80 vimeainishwa kuwa vya juu, na viwango vya uhalifu vinavyozidi 80 vinachukuliwa kuwa vya juu sana.

RankCityCountryCrime IndexGlobal rank
1PretoriaSouth Africa81.82nd
2DurbanSouth Africa80.93rd
3JohannesburgSouth Africa80.74th
4Port ElizabethSouth Africa77.08th
5Cape TownSouth Africa73.516th
6LagosNigeria68.027th
7WindhoekNamibia67.630th
8HarareZimbabwe61.057th
9NairobiKenya59.167th
10CasablancaMorocco54.493rd

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news