NA DIRAMAKINI
WAZIRI wa Kilimo, Mheshimiwa Hussein Bashe amesema, amepokea taarifa kuwa, Serikali ya Jamhuri ya Malawi imeondoa zuio la mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo.
Mheshimiwa Bashe ameyabainisha hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter Januari 20,2024.
"Nimepokea Statement ya Serikali ya Malawi kuondoa zuio la mahindi yetu kuingia kwao.
"Nimeishawagiza mamlaka yetu ya afya ya mimea kuondoa zuio kwenye mpaka wa Kasumulu na kuruhusu magari yaliyobeba soya na mahindi ya Malawi kupita ikitokea mabadiliko yoyote tutachukua hatua stahiki;