DAR ES SALAAM-Jamani mtoto huyu amepotea. Yupo darasa la kwanza hajui shule yake, hamjui mwalimu wake anasema anaitwa Imma na anatokea Kimara jijini Dar es Salaam alipanda na mama yake lakini baadae hakumuona.
Tafadhali tusaidie kutuma magroup mengine. Mzazi akipatikana aje Shule ya Msingi Azimio. Au apige simu namba 0712397186. Asanteni