ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametoa msamaha kwa wanafunzi 25 waliopo Chuo cha Mafunzo.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu Zanzibar, Charles Hillary;