HomeBenki Kuu ya Tanzania Uchumi wa Tanzania uko vizuri-MPC "Ukuaji uchumi uliimarika katika mwaka 2024. Katika robo ya tatu uchuami ulikuwa kwa asilimia 5.3 na unatarajiwa kukuwa kwa asilimia 5.4 katika robo ya nne.Kutokana na hali hii, makadirio ya ukuaji wa asilimia 5 mwaka 2023 yatafikiwa; Tags Benki Kuu ya Tanzania Habari Kamati ya Sera ya Fedha Facebook Twitter