Dereva mlevi wa Serikali aliyesababisha ajali amsikitisha Waziri Bashungwa

NA DIRAMAKINI

SIKU chache baada ya dereva wa gari lenye namba za usajili STL 8852 mali ya Serikali akiwa kwenye hali ya ulevi kusababisha ajali kwa kumgonga dereva wa pikipiki, mlezi wa madereva hao, Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Innocent Bashungwa ametoa tamko.
Kupitia taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi imefafanua kuwa, Mheshimiwa Waziri Bashungwa amesikitishwa na kitendo hicho.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news