Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 15,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1856.40 na kuuzwa kwa shilingi 1872.99 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2835.61 na kuuzwa kwa shilingi 2863.64.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 15, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1626.31 na kuuzwa kwa shilingi 1645.85 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3332.22 na kuuzwa kwa shilingi 3365.55.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 237.99 na kuuzwa kwa shilingi 240.32 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 131.99 na kuuzwa kwa shilingi 133.79.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 684.29 na kuuzwa kwa shilingi 691.08 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 161.72 na kuuzwa kwa shilingi 162.70.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2691.38 na kuuzwa kwa shilingi 2719.31.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.75 na kuuzwa kwa shilingi 16.81 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3156.83 na kuuzwa kwa shilingi 3189.41 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2513.19 na kuuzwa kwa shilingi 2538.33 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8154.44 na kuuzwa kwa shilingi 8226.91.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 15th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED684.2917691.0781687.684915-Feb-24
2ATS161.272162.701161.986515-Feb-24
3AUD1629.30631645.85321637.579715-Feb-24
4BEF55.011455.498455.254915-Feb-24
5BIF0.87720.88410.880715-Feb-24
6CAD1856.40281873.99781865.200315-Feb-24
7CHF2835.60652863.63952849.62315-Feb-24
8CNY349.3998352.8252351.112515-Feb-24
9DEM1007.01131144.6811075.846115-Feb-24
10DKK361.1851364.7445362.964815-Feb-24
11ESP13.337613.455213.396415-Feb-24
12EUR2691.38372719.31292705.348315-Feb-24
13FIM373.2324376.5398374.886115-Feb-24
14FRF338.3092341.3018339.805515-Feb-24
15GBP3156.8283189.41163173.119815-Feb-24
16HKD321.4631324.6735323.068315-Feb-24
17INR30.276930.559530.418215-Feb-24
18ITL1.14611.15621.151215-Feb-24
19JPY16.690116.855916.77315-Feb-24
20KES16.754716.810116.782415-Feb-24
21KRW1.88481.9031.893915-Feb-24
22KWD8154.43888226.90748190.673115-Feb-24
23MWK1.38721.49321.440215-Feb-24
24MYR525.4439530.0555527.749715-Feb-24
25MZM39.006739.335739.171215-Feb-24
26NLG1007.01131015.94161011.476415-Feb-24
27NOK237.5311239.8385238.684815-Feb-24
28NZD1528.77841544.321536.549215-Feb-24
29PKR8.5679.09548.831215-Feb-24
30RWF1.95532.00991.982615-Feb-24
31SAR670.1504676.8158673.483115-Feb-24
32SDR3332.22583365.5483348.886915-Feb-24
33SEK237.9968240.3221239.159415-Feb-24
34SGD1863.28441880.80181872.043115-Feb-24
35UGX0.62420.65510.639615-Feb-24
36USD2513.1982538.332525.76415-Feb-24
37GOLD5002922.775054373.46265028648.116315-Feb-24
38ZAR131.9874133.289132.638215-Feb-24
39ZMW91.303494.890893.097115-Feb-24
40ZWD0.47020.47980.47515-Feb-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news