Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 22,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.47 na kuuzwa kwa shilingi 0.48 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2724.39 na kuuzwa kwa shilingi 2752.39.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 22, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 17.33 na kuuzwa kwa shilingi 17.38 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.39 na kuuzwa kwa shilingi 1.49.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3179.76 na kuuzwa kwa shilingi 3211.81 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.01.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2521.41 na kuuzwa kwa shilingi 2546.63 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8194.66 na kuuzwa kwa shilingi 8273.92.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1866.19 na kuuzwa kwa shilingi 1884.29 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2863.62 na kuuzwa kwa shilingi 2890.94.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1649.51 na kuuzwa kwa shilingi 1666.51 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3340.27 na kuuzwa kwa shilingi 3373.67.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 242.98 na kuuzwa kwa shilingi 245.37 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.34 na kuuzwa kwa shilingi 134.63.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 686.58 na kuuzwa kwa shilingi 693.26 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 161.79 na kuuzwa kwa shilingi 163.23.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 22nd, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED686.5853693.2624689.923822-Feb-24
2ATS161.7993163.233162.516122-Feb-24
3AUD1649.51021666.51471658.012522-Feb-24
4BEF55.191355.679955.435622-Feb-24
5BIF0.87860.88670.882722-Feb-24
6BWP184.0634186.668185.365722-Feb-24
7CAD1866.19481884.29891875.246922-Feb-24
8CHF2863.61822890.94112877.279722-Feb-24
9CNY350.7325354.1659352.449222-Feb-24
10CUC105.059106.1096105.584322-Feb-24
11DEM1010.30411148.42391079.36422-Feb-24
12DKK365.5921369.1945367.393322-Feb-24
13DZD18.777518.882318.829922-Feb-24
14ESP13.381213.499213.440222-Feb-24
15EUR2724.38982752.39772738.393822-Feb-24
16FIM374.4529377.771376.111922-Feb-24
17FRF339.4155342.4178340.916722-Feb-24
18GBP3179.75753211.80983195.783622-Feb-24
19HKD322.3863325.5977323.99222-Feb-24
20INR30.42130.704930.562922-Feb-24
21IQD1.92621.94251.934422-Feb-24
22IRR0.060.06060.060322-Feb-24
23ITL1.14981.161.154922-Feb-24
24JPY16.782616.94716.864822-Feb-24
25KES17.329317.383117.356222-Feb-24
26KRW1.88951.90781.898722-Feb-24
27KWD8194.66298273.92058234.291722-Feb-24
28MWK1.39181.4981.444922-Feb-24
29MYR526.1719530.9904528.581222-Feb-24
30MZM39.176839.507139.341922-Feb-24
31NAD133.4365134.6355134.03622-Feb-24
32NGN1.57071.58441.577522-Feb-24
33NLG1010.30411019.26361014.783822-Feb-24
34NOK240.4394242.7743241.606922-Feb-24
35NZD1555.20931571.781563.494722-Feb-24
36PKR8.57329.10818.840622-Feb-24
37QAR691.6326698.0894694.86122-Feb-24
38RWF1.9652.01131.988222-Feb-24
39SAR673.2213678.9565676.088922-Feb-24
40SDR3340.26963373.67233356.970922-Feb-24
41SEK242.9835245.3732244.178422-Feb-24
42SGD1876.6121894.6731885.642522-Feb-24
43TRY81.325582.130581.72822-Feb-24
44UGX0.62230.65380.63822-Feb-24
45USD2521.41582546.632534.022922-Feb-24
46GOLD5109371.84725161255.0215135313.434122-Feb-24
47ZAR133.3377134.6355133.986622-Feb-24
48ZMK106.9191111.0853109.002222-Feb-24
49ZWD0.47180.48140.476622-Feb-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news