Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 5,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2504.95 na kuuzwa kwa shilingi 2530 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8154.40 na kuuzwa kwa shilingi 8220.59.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 5, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1872.58 na kuuzwa kwa shilingi 1890.59 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2926.68 na kuuzwa kwa shilingi 2954.57.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1654.52 na kuuzwa kwa shilingi 1671.32 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3291.15 na kuuzwa kwa shilingi 3324.06.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 241.92 na kuuzwa kwa shilingi 244.29 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.38 na kuuzwa kwa shilingi 135.65.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 682.06 na kuuzwa kwa shilingi 688.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 160.74 na kuuzwa kwa shilingi 162.17.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.46 na kuuzwa kwa shilingi 0.47 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2724.88 na kuuzwa kwa shilingi 2753.15.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 15.65 na kuuzwa kwa shilingi 15.71 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.38 na kuuzwa kwa shilingi 1.48.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.87 na kuuzwa kwa shilingi 0.88.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3194.31 na kuuzwa kwa shilingi 3227.52 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.96 na kuuzwa kwa shilingi 2.00.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 5th, 2024 according to Central Bank;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED682.0646688.7352685.399905-Feb-24
2ATS160.7427162.167161.454905-Feb-24
3AUD1654.51981671.3181662.918905-Feb-24
4BEF54.830955.316355.073605-Feb-24
5BIF0.87440.8810.877705-Feb-24
6BWP184.3644187.473185.918705-Feb-24
7CAD1872.58021890.59931881.589705-Feb-24
8CHF2926.68592954.5722940.62905-Feb-24
9CNY349.0199352.4708350.745305-Feb-24
10CUC104.3729105.4167104.894805-Feb-24
11DEM1003.70661140.92451072.315505-Feb-24
12DKK365.6328369.2568367.444805-Feb-24
13DZD18.663118.767318.715205-Feb-24
14ESP13.293813.411113.352405-Feb-24
15EUR2724.88512753.1462739.015605-Feb-24
16FIM372.0076375.3041373.655905-Feb-24
17FRF337.199340.1818338.690405-Feb-24
18GBP3194.31293227.5213210.916905-Feb-24
19HKD320.404323.5873321.995705-Feb-24
20INR30.223130.505130.364105-Feb-24
21IQD1.91361.92981.921705-Feb-24
22IRR0.05960.06020.059905-Feb-24
23ITL1.14231.15251.147405-Feb-24
24JPY17.089317.256717.17305-Feb-24
25KES15.655915.714315.685105-Feb-24
26KRW1.89171.911.900805-Feb-24
27KWD8154.40128230.58668192.493905-Feb-24
28MWK1.38271.48821.435505-Feb-24
29MYR531.2726536.1873533.7305-Feb-24
30MZM38.884739.212639.048705-Feb-24
31NAD134.3641135.6641135.014105-Feb-24
32NGN2.0042.02242.013205-Feb-24
33NLG1003.70661012.60761008.157105-Feb-24
34NOK239.376241.7074240.541705-Feb-24
35NZD1541.7971557.7211549.75905-Feb-24
36PKR8.52029.04868.784405-Feb-24
37QAR687.3235693.816690.569705-Feb-24
38RWF1.95762.00421.980905-Feb-24
39SAR668.0402674.6127671.326505-Feb-24
40SDR3291.15433324.06583307.6105-Feb-24
41SEK241.9214244.2934243.107405-Feb-24
42SGD1876.36741894.27971885.323605-Feb-24
43TRY82.264483.065282.664805-Feb-24
44UGX0.63030.66230.646305-Feb-24
45USD2504.950525302517.475205-Feb-24
46GOLD5146420.792152006685173544.39605-Feb-24
47ZAR134.3764135.6525135.014405-Feb-24
48ZMK89.495593.014791.255105-Feb-24
49ZWD0.46880.47820.473505-Feb-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news