DAR ES SALAAM-Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Emmanuel Tutuba, amekutana na Ujumbe kutoka Wakala wa Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Juma Amour Mohamed, katika Ofisi za Benki Kuu jijini Dar es Salaam.