IMF yaitabiria makubwa Tanzania, Rais Dkt.Samia abainisha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.