ZANZIBAR- Februari 14,2024 Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, na Uratibu) Mhe . Jenista J. Mhagama (Mb) na Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Ndani ya Zambia, Mhe. Jacob Jack Mwiimbu wamesaini hati ya makubaliano (MoU).

Sherehe ya kusaini makubaliano imefanyika katika Hoteli ya Verde jijini Zanzibar, ikiambatana na Mkutano wa Pili wa Kamisheni ya Pamoja ya Kudumu ya Ulinzi na Usalama (JPCDS).
Tags
DCEA
DCEA Tanzania
Habari
Kataa Dawa za Kulevya na Timiza Ndoto Zako
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA)