Mtume Dkt.Nyaga aja na siku 12 zitakazokupa tabasamu ndani ya RGC Miracle Centre Tabata Chang'ombe jijini Dar es Salaam


MTUME NA NABII,DKT. PETER NYAGA WA KANISA LA RGC MIRACLE CENTRE TABATA CHANG'OMBE DAR ES SALAAM ANAKULETEA SIKU 12 ZA SEMINA KUBWA YA UREJESHO WA NYOTA YA PESA NA UNABII WA MTU MMOJA MMOJA.

NI KUANZIA TAREHE 6 / 3/ 2024 HADI TAREHE 17 / 3/ 2024 KILA SIKU MUHUBIRI WA KIMATAIFA, NABII NA ASKOFU MKUU ISAAC NYAGA KUTOKA KENYA ATAKUOMBEA HADI UFANIKIWE.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news