KATIBU Mkuu,Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora anapenda kuwataarifu maafisa tarafa taraji kuripoti jijini Dodoma tarehe 26 Februari,2024 wakiwa na vyeti halisi vya elimu na kitaalam kwa ajili ya kukamilisha taratibu za ajira;