Rais Dkt.Samia amjulia hali mama mzazi wa Halima Mdee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Bi.Theresia Ngowi Mama mzazi wa Mbunge wa viti maalum Halima Mdee anaepatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma leo Februari 1, 2024.