Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada ya uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ameshika utepe pamoja na viongozi mbalimbali wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema akikata utepe huo kuashiria uzinduzi wa Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU), Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 18 Februari, 2024.
Tags
Habari
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Sanamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere